Tuesday, 21 June 2016

AJARI YAUWA MTU MMOJA NA WENGINE KUNUSURIKA MKOANI RUVUMA.

Mtu mmoja asiyefahamika aliyekuwa akiendesha baiskeli amefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari aina ya Haice huku abiria zaidi ya kumi waliokuwa kwenye gari hiyo iliyokuwa ikitoka Songea kwenda Peramiho wakinunusurika kufa baada ya ajali hiyo iliyotokea maeneo ya Mfaranyaki mjini.

TAZAMA VIDEO HAPA.

Source: Itv

No comments:

Post a Comment